Kibolinao

Kibolinao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabolinao. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibolinao imehesabiwa kuwa watu 51,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibolinao iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search